Saturday, February 16, 2013

PICHA:MKONO WA ALBINO ULIOKATWA FEBRUARY 14 WAPATIKANA ONA HAPA.

Posted by kishymba 




Askari  akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga  mkono  ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa  ngozi na kufukiwa  porini kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani  mbele  ya majengo ya  Hospitali ya Mkoa mjini hapa juzi usiku  Februari 14 mwaka huu.






Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya  wa tatu kulia  akibubujikwa na  machozi.





Madaktari wakijitahidi kutafuta mishipa kwa ajili ya kuongeza damu kwa mwanamke aliyekatwa mkono ambaye pia ni mlemavu.

1 comment:

  1. This is realy so strange Candy i cant even believe, God help us. Tanx for keeping us udated on what is going on in our country Candy. Stay blessed. Frans

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA