Tuesday, January 22, 2013

SHEDDY CLEVER....KUTOKA BURN RECORDS APANIA KUTIKISA MWAKA HUU

Producer mkali kutoka BURN RECORDS iliopo maeneo ya TABATA DAR amesema mwaka huu amejipanga kufunika vilivo na anakuja kivingine kwani tayari anakazi mkononi za wasanii wakubwa na wachanga anazo tarajia kuzitoa kuanzia mapema mwez wa tatu, tanzania imemjua na kumkubali saana kutokana na kazi zake nzuri saana ambazzo kashawah kufanya na wasanii mbali mbali na zimefanya vizuri sana kama merry mi ya RICH MAVOCO, nivute kwako ya DAINA, zilipendwa ya MATONYA, na nyingine kibao zinazo tamba katika vyombo mbali mbali,
Pia lengo lake lingine ni kuinua vipaji vya wasanii wachanga na kuitangaza studio yake kimataifa, watanzania sasa tuelekeze macho yetu na masikio yawe tayari kumpokea producer mkali kwa ujio wake wa mwaka 2013,,,
all da best  SHEDDY CLEVER

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA