BAADHI YA PICHA KATIKA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI KILOSA....
Pichani
juu ni taswira mbalimbali wakati wa vurugu za wakulima na wafugaji
zilizotokea Ijumaa iliyopita eneo la Dumila wilayani Kilosa mkoani
Morogoro. Katika vurugu hizo mtu mmoja alifariki dunia.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA