Jahazi la SUNRISE ambalo ilikuwa likitokea Mkoani Tanga kuelekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 limezama eneo la Nungwi.
Jitihada
za kuwaokoa abiria hao zinaendelea kufanywa na maafisa wa uokoaji na
hadi sasa wameokolewa watu 20 na wengine 12 hawajulikani walipo. Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa taarifa zaidi. Chanzo: East Africa Radio
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA