Thursday, January 24, 2013

HAYA NDIO MAANDALIZI YA USIKU WA MASTAA WA FILAMU, DAR LIVE


 
Muonekano wa 'Red Carpet' itakavyokuwa siku hiyo ya Jumamosi.

 
Maandalizi ya ukumbi wa kisasa ya Dar Live kwa ajili ya Usiku wa Mastaa wa Filamu Jumamosi yakiendelea.

MAANDALIZI ya lile tamasha kubwa la Usiku wa Mastaa wa Filamu litakalofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem siku ya Jumamosi yamezidi kupamba moto kama inavyoonekana pichani juu.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA