Thursday, January 17, 2013
KANITOA MBALI
Anaitwa ABDALA HAMIS nilishiriki nae mashindano ya TIKISA DANCE mwaka2011, nilikuwa sijui kucheza na sijui chochote abt dance, alipoteza muda wake mwingi kunifundisha hadi leo nikisimama sehemu kudance watu wanakubali, nimejifunza mengi toka kwake sio siri naweza kwenda nchi yoyote nikawa free na muziki wao na nikacheza stairi zao zozote,, nikitu cha ajabu sana ila namshukuru mungu kupitia huyu nimejua aina nyingi za dancing, watu wengi wanaona dancng ni kitu kama uhuni ila mi nawasibitishia kuwa dance ni kazi na inaweza kubadilisha maisha yako,, ONE LOVE ABDALA { dula
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA