Thursday, January 17, 2013

PENZI LA MASHAKA

Penzi la mashaka ni wimbo wangu mpya niliourecod katika studio za NK PRODUCTION chini ya producer CHRISTONE, Ndani ya wimbo huu nimejitahidi kueleza hisia zangu na yote yalionitokea, Sio siri mapenzi yanauma saana waweza apa kutopenda tena mapenzi yamekua kilio kwa kila mtu sio tajiri wala masikini, Nilim,penda mtu nilimuamini kwa kila kitu nilijitahidi kumuonesha jinsi gani namjali but mwisho wa siku niliempenda nae akapendana na watu wengine, ukiwa unajielewa na unamalemgo na maisha yako waweza kujikuta mapenzi yamekurudisha nyuma kimaendeleo pale unapoumizwa, vijana wengi tunakimbilia kwenye mapenzi tunayapa kipaombele mwisho wa siku yanatuangusha, pindi uumiapo kila kitu unakiona kichungu kila kitu kibaya lakini kuna watu wengine wanaumizwa ila bado wanapenda pale pale, hii hali sio nzuri kwa ushauri maana waweza zulika au kusababishajambo baya, sikatai waweza kumpenda anaekuchit kwa wengine ila inategemea na jinsi gani, kwa wale milio katika relation hongereni kwan mapenzi yakikolea ni raha ombea mungu yasiharibike,,,NIMEMSAMEHE JAPO SIMUHITAJI TENA WIMBO HUU UTABAKI KAMA HISTORIA,,kaeni tayari kwa wimbo wangu mpya,,,

1 comment:

TOA MAONI YAKO HAPA