Amber Rose ajifungua mtoto wa kiume ‘Sebastian Taylor Thomaz’
Hatimaye rapper Wiz Khalifa na mchumba wake Amber Rose wamekuwa wazazi rasmi kwa kupata mtoto wa kiume waliyemuita Sebastian Taylor Thomaz.
Wiz Khalifa ambaye jina lake ni Cameron Jibril Thomaz alitangaza habari hiyo kupitia Twitter baada ya – Amber Rose kujifungua mtoto wao wa kwanza.
Miongoni mwa wasanii waliowapongeza wachumba hao kwa kupata mtoto ni pamoja na Snoop Dogg na Rihanna:
[ @ ] snoopdogg Welcome 2 fatherhood @mistercap!!! Congrats 2 u n @muvarosebud on ur new son – he got the same Cday as @cbroadus!!! Bless up
@ ] badgalriri Congratulations to my fam @mistercap and @muvarosebud !!! Welcome baby Bash! You’re born in an exquisite month #babypisces
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA