Wednesday, February 20, 2013

DIAMOND AMKANA DEMU ANAE TAJWA KUWA NI MPENZI WAKE

Akiwa Na Presenter Hatari wa Clouds Fm Hamisi Mandi(B12)
DIAMOND PLATNUMZ leo amefunguka kuhusu demu anaetajwa kuwa anamahusiano nae kwa sasa, akiwa live ndani ya XXL YA CLOUDS FM diamond amesema hana mahusiano yoyote na demu huyo na wala hafikilii huko anachowaza yeye sahizi ni kazi zake na muziki maisha na familia yake kwa ujumla, kuendelea kukanusha zaidi madai hayo DIAMOND amesema sio kwamba yote yanayoandikwa ni ukwel na sio kwamba kila kitu anachoambiwa kafanya inakuwa kweli kafanya sometmz inatokea sababu yeye ni kioo cha jamii anawindwaa na mapaparazi,, na kuhusu picha zinazovuma mtandaoni za yeye na msichana huyo kwa madai yake kasema pic hizo zilipigwa akiwa anatengeneza filam na msichana huyo hakuna ukwel wowote kuhusu uhusiano huo, alipo ulizwa hiyo filam inaitwaje na imeshutiwa na kampuni gani maswali hbaya yalikosa jibu sasa hatujui kama anadanganya au lah. sasa kama si kweli je anatumia kigezo hicho ili kukuza jina la huyo msichana? au watu wanaotoa taarifa hzo wananini nyuma ya pazia ambacho watanzania hawakijui? imekuwa fashion bongo mtu kuonekana yupo na mahusiano na fulani akishapata jina wanajifanya kama wameachana, sasa bado hatujajua kama wanamahusiano kweli au uongo maana diamond kakanusha na watanzania wamemsikia,, all in all kila mtu anamaisha yake kama kweli kila lakheri na kama si kweli basi mungu amjalie apate yule aaaaaanaempenda,

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA