HEMED AWAUWA WASANII WENZIE WA MOVIE NA MUZIKI..ASEMA HAKUNA ZAIDI YAKE
Msanii wa filamu na muziki nchini
tanzania Hemed Suleiman PHD amesema ana amini kuwa yeye ndiye msanii wa
kwanza handsome kuliko wote ndani ya bongo,akipiga stori na
thesuperstarstz hemed ameweka wazi kuwa anajiamini katika uchezaji
anajiamini katika uzuri na anajiamini katika uvaaji pia
|
Usher Raymond wa Tzzzz |
Hemed ameendelea kusema kuwa anamkubali
sana msanii kutoka marekani usher raymond na ndio sababu hata mashabiki
wake humuita usher raymond wa bongo
Kaka unajua hapa bongo ukianzia katika
movie muziki huwezi kumpata kama mimi na ndio maana nikiingia sehemu
unajua kabisa nimefika maana watu wote hugeuka kunitizama na hii
inatokana na u handsome na jinsi navyonyuka pamba alisema hemed.
What's up, constantly i used to check web site posts here early in the break of day, as i love to learn more and more.
ReplyDeleteHere is my webpage - how to make steroids at home