Monday, February 11, 2013

KATIKA PICHA: UZINDUZI WA VIDEO YA OMMY DIMPOZ NA VANESA MDEE 'ME AND YOU'

Usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku ya New Maisha Club, Ommy Dimpoz pamoja na mwanadada Vanessa walikuwa na special video premier night kwa wimbo wake “me & you” ambao wameshirikiana.
Katika uzinduzi wa video hiyo mastaa kadhaa walijitokeza ku shoo love pamoja na kutumbuiza wakiwemo Diamond, Dully, Mwana FA, Chege, kundi la Shostiz, Madee, Godzilla na wengine.
Pia on the same note mwanadada DeeAndy wa Clouds FM naye alijumuika na Ommy Dimpoz katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo baadhi ya wanafamilia wa radio hiyo wakiwemo B12 na Dj Zero walimpa sapoti katika usiku wake huo special.Kama kawaida bongo5.com ilikuwepo ndani ya nyumba na hizi ni baadhi ya picha za usiku huo.
IMG_4559 (400x600)
IMG_4552 (600x400)
IMG_4545 (400x600)
IMG_4752 (600x400)
IMG_4526 (600x400)
IMG_4538 (600x400)
Nisher na mshikaji
Nisher na mshikaji
IMG_4748 (600x400)
Ommy Dimpoz na Vanessa wakiperform Me and You
Ommy Dimpoz na Vanessa wakiperform Me and You
IMG_4744 (600x400)
IMG_4741 (600x400)
Diamond
Diamond
IMG_4728 (600x400)
Ommy Dimpoz akiperform
Ommy Dimpoz akiperform
MwanaFA
MwanaFA
Diamond na warembo
Diamond na warembo
Lamar, Diamond na warembo
Lamar, Diamond na warembo
Diamond na Dully
Diamond na Dully
Clouds TV wakimhoji Ommy
Clouds TV wakimhoji Ommy
DJ Zero, DeeAndy, Vanessa Mdee na B12
DJ Zero, DeeAndy, Vanessa Mdee na B12
Godzilla na B12
Godzilla na B12
MwanaFA na swahiba wake AY
MwanaFA na swahiba wake AY
Deeandy na Vanessa
Deeandy na Vanessa
Chege
Chege

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA