Nigeria Inaendelea kuwa Nchi ambayo Inatembelewa na Mastaa wengi Duniani.....!! February hii Tv Star,Kim Kardashian ambae pia ni mpenzi wa Rapper Kanye West Anaitembelea Nigeria kwa Mara ya Kwanza,Bahada ya Kupata Dili la kuwa co-host wa Show ya Valentines Love Consert Itakayofanyika February 17,2013... Mastaa ambao watakuwa nae kwenye show hiyo ni pamoja na 2Face Idiba, Naeto C Na Jozi wa S.A...!! |
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA