Kocha Stewart Hall wa Azam akibebwa na wachezaji wake baada ya kutwaa Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar. |
Stewart Hall |
Kocha
wa Azam, Stewart John Hall amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Sh.
500,000 kwa kwa kosa la kushusha bukta yake huku akimlalamikia refa
msaidizi wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya timu yake
na Kagera Sugar iliyochezwa Januari 26 kwenye Uwanja wa Azam Complex
ulioko Chamazi jijini Dar es Salaam.
SOURCE DJ SEK
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA