Sunday, February 10, 2013

KUTOKA NK PRODUCTION; PRODUCER CHRISTONE

KWA wale ambao mshatizama au kusikiliza wimbo wangu uitwao mziki mtamu basi huyu producer ndio aliehusika kutengeneza wimbo huo, anapatikana NK production MIKOCHENI karibu uonje radha tamu ya muziki wake,, waweza wasiliana na mimi kupitia acnt yangu ya FB  search Candy Calfonia 

Christone in red a.k.a the producer with VituS

 HAPA NIKIWA ZANGU STUDIO NIKITENGENEZA KAZI ZANGU; KARIBU NK PRODUCTION
by CANDY

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA