Monday, February 18, 2013

MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA





Wilvina Mukandala akiwa kizimbani.
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA