Sunday, February 3, 2013

PICHA 5 ZA MSANII BUI BUI AKIWA HOSPITAL MUHIMBILI BAADA YA AJALI YA PIKIPIKI

 Msanii wa bongo fleva bui bui akiwa hospital muhimbili baada ya kupata ajali ya pikipiki maeneo ya kinondoni, akiongea na hyperman hk mchana wa leo bui bui alisema kwasasa anaendelea vizuri tofauti na jana alfajili alivyoleta eneo hapa kwakeli hali hali ilikuwa mbaya sana anawashukuru madaktar wa muhimbili kwa kumpokea vizuri pale pindi alipojitambulisha kuwa yeye ni msanii.

 ajali hiyo ilimtokea kwa kugongwa na pikipiki ya mtu aliekuwa akija kwa kasi sana mpaka kumfata maeneo ya pembezoni mwa barabara, nakupelekea ajali hiyo mbaya.

 hyperman hk alipita mchana wa leo muhimbili kutoa pole na kumfariji bui bui kutokana na matatizo yaliompata.

 
 
                                    BUI BUI ameumia sana maeneo ya miguuu yote miwili kwenye    mikono na sehemu za kifuani

Zaidi wasamalia wema mnaombwa kwenda kumsaidia hili aweze kupata matibabu zaidi kwa mana hata pale alipo analala chini amekosa kitanda amepata godoro. hivyo ingekuwa poa zaidi angepata nafasi nzuri na sehemu salama hili kupata matibabu ya haraka hili hasije pata na matatizo mengine kwa kutofanya huduma za haraka.

SOURCE  HK

2 comments:

  1. kiukweli anastahili kupewa pole,na aombewe kwa mungu ili aweze kurudi kwenye game.

    ReplyDelete
  2. Pole sana kijana wangu binafsi nakukubali HK fafanua vile tunaweza toa misaada yetu kama wapenz wake wa muziki wake

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA