Mwanamitindo kutokea Uingereza, maarufu kama
Kate Moss pamoja na mwanamuziki nyota kutoka
Marekani,
Rihanna wamekuwa ni miongoni ya watu waliochaguliwa kufanya kupiga picha kwa ajili ya
Jarida maarufu nchini
Marekani linalojulikana kama
''V''.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo warembo hao walizipiga wakati wakifanyiwa photo shoot...
Hapa chini ni video ikionesha kipindi wakifanya photo shoot:
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA