Posted: 16th February 2013 by MillardAyo in News
Pamoja
na kwamba mwimbaji Beyonce akiongea na E! news hivi karibuni aliahidi
kulinda mtoto wake asionekane sana kwenye media, wajanja wa media
wamefanikiwa kuinasa hii picha wakati wa makala maalum inayomuhusu
Beyonce.
Blue Ivy Carter ana umri wa mwaka mmoja sasa hivi.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA