SOURCE: DJ FETTY
Sekunde kadhaa baada ya tiketi kuingia sokoni kwa ajili ya UK world
tour ya Beyonce inayoitwa "Mrs. Carter" siku ya juma mosi
asubuhi,kuuzika zote ndani ya dakika 10 (sold out) mashabiki waanza
kufurika kwenye internet na malalamiko kwamba kila show ticket zimeisha
na watu wamejitosheleza (sold out)
lakini masaa machache
baadae, scores za ticket zimeanza kujionyesha kupitia katika sites za
brokers wakiziuza kwa paund 660 kila moja, ambayo ni zaidi ya shilingi
1,500,000 za kitanzania, na muuzaji mmoja akiuza ticket 6 kwa paund
2,000 kupitia eBay.
kuuzika
kwa ticket hizo na kumalizika ndani ya dakika 10, kunasababisha kuwepo
kwa tuhuma kuwa inawezekana Beyonce na uongozi wake wamezinunua wenyewe,
kama justine Beiber na Taylor Swift ambao walikamatwa wakifanya hivyo
mwaka jana
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA