Taarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai
kuwa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu
alikuwa katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother
Africa mwaka huu.
Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi
kuiwakilisha Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed
Mohamed aka TID
wema anaweza kuishi her real life in da house
ReplyDelete