Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahahariri na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New
Habari 2006 Ltd,Absalon Kibanda akipakiwa kwenye ndege ya Kampuni ya
Flightlink tayari kwa safari ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa Matibabu
baada ya kuvamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana na
kujeruhiwa vibaya,alipokuwa akirudi nyumbani kwake Mbezi Beach jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA