Peter Okoye (of P-Square) ameweka picha kwenye mtandao wa instagram with some caption zinazosema “Hustle must continue…. Oil business tinz….. No time.” Pia aliweka picha nyingine ikiwa na hizi quotes “When u start from the bottom.. Who knows? God bless ma hustle.” Watu wengi wameshindwa kuelewa walichukulie vip hili jambo..? Majamaa hawa wawili ni kwamba wanataka kuingia kwenye industry ya oil au ni vip?
Pitia mtandao wako wa this is diamond tutakujuza zaidi
|
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA