Sunday, January 27, 2013

BAADHI YA PICHA KATIKA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI KILOSA....


Pichani juu ni taswira mbalimbali wakati wa vurugu za wakulima na wafugaji zilizotokea Ijumaa iliyopita eneo la Dumila  wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Katika vurugu hizo mtu mmoja alifariki dunia.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA