Wednesday, January 30, 2013

DOWNLOAD NA SIKILIZA SONG MPYA: YOUNG DEE FT BLUE- HUJALI PRODUCED BY MBEZI

Hii ndio ngoma mpya ya young rapper, Young Dee! The hottest hit iliyokuwa produced na producer Mkali, MBEZI.  Ngoma hii ilifanywa na producer Mbezi katika studio za Dhahabu RECORDS kabla hajahamia kwenye studio mpya inayokwenda kwa jina la SMART MUSIC. 

SMART MUSIC ndio waliorekodi ngoma mpya ya Najma na Ngwea inayoitwa 'JINA LANGU'...Producer huyu mkali kashafanya hit nyingi saana before akishirikiana na Dhahabu Rec chini ya Dully Sykes. Pia hivi karibuni anatarajia kuachia hits kibao za wasanii wake pamoja na wasanii wakubwa kutoka katika studio yake ya SMART RECORDS......Stay tuned


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA