Wednesday, January 30, 2013

HIVI NDIVYO KIWANDA CHA CHEMICOTEX DAR KILIVYOTEKETEA KWA MOTO


Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.
Wadau wetu  wakiwa katika eneo la tukio wametutumia  picha hizi.
 
Picha zote:   MPEKUZI

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA