Tuesday, January 15, 2013

MAADUI WANANIPA CHANGAMOTO NA NGUVU YA KUENDELEA

MUZIKI UNANIEPUSHA NA MAMBO MENGI MABAYA AMBAYO VIJANA TUNAKUTANA NAYO HASA SISI MABINTI,,MUDA MWINGI NAUTUMIA KUIMARISHA KIPAJI CHANGU KAMA KUIMBA NA KUFANYA MAZOEZI YA KUDANCE PIA HUWA NABUNI STAIL ZANGU ZA KUCHEZA MUZIKI ILI MRADI TU MASHABIKI WAWEZE KUONA UTOFAUTI WANGU NA WENGINE,NIKIWA BIZE NA KAZ YANGU INANIFANYA NISIFIKILIE MAMBO MAOVU PIA MZIKI WANGU UMENIPA MARAFIKI  KWA MDA MCHACHE SAANA NIMEWEZA KUWA NA FANS WENGI WANAONIPENDA JAPO KUWAINAELEWEKA WAZI KUWA KATIKA HIZI KAZI ZETU SIO WOTE WATAKAO KUPENDA HIVO SIWEZI KUFICHA UKWELI NI KUAKATIKA MUZIKI HUU HUU NIMEPATA WATU WANAONICHUKIA,, KUCHUKIWA NI CHANGAMOTO AMBAYO WASANII WENGI TUNAKUMBANA NAYO HIVO CHA MUHIMU NI KUPAMBANA COZ HAKUNA BINADAMU ANAEPENDWA NA WATU WOOTE HATA UTENDE MEMA MENGI,,POPOTE PALE KWA HALI YOYOTE NITASIMAMA KUITANGAZA NCHI YANGU KITAIFA NA KIMATAIFA

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA