Thursday, January 17, 2013

NAMPENDA MSANII,

Nikiwa kama upcmng artist napenda kuiga mazuri kutoka kwa wasanii wenzangu,, nampenda msaanii mwenye upendo kwa fans wake pia nampenda msanii anaejali kazi yake na kuheshimu mawazo ya wengine, nampenda msanii anaetumia mafanikio yake kuwanufaisha wengine pia asie na skendo chafu,.  hapa tz nawakubali sana wasanii wengi na naifagilia nchi yangu kwa kuwa na vijana wenye vipaji tofauti na vingi

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA