Monday, January 21, 2013

ONESHA UPENDO KWA UMPENDAE KWANI NDIO VALENTINE WAKO

Kila mtu anajua maana ya VALENTINE DAY,  valentine hiyo inakuja je umeandaa nini kwa wale uwapendao? yawezekana ikawa ndugu, marafiki au mpenzi, katika kuazimisha siku hii watu wengi hupenda kukaa karibu na wale wawapendao hususani WAPENZI, watu huwa wanachanganyikiwa endapo siku kama hii asipokutana na yule ampendae huwa tunahisi kaenda kwa mwingine, valentine sio kwa wapenzi tu waweza onesha kwa kila mtu hata kwa nchi yako au mazingira au kitu chochote ukipendacho, daima tunasisitiza upendo amani na kujenga yale yalio bomoka, mkwa wale wapendanao hii ni siku maalumu ya kumueleza mpnz wako maneno mazuri na kama unachochote si vibaya kumuandalia zawadi mpnz wako ili azidi kukukumbuka ukiwa mbali nae,.waweza itumia hii siku pia kwa maombi kumshukuru mungu kwa upendo wake kwetu na uhai aliotugea sio kwamba sisi ni wema sana, mapenzi yatawale katika siku hii kusiwe na mikwaluzano muoneshe upendo yoyote alio karibu nawe bila ubaguzi na nivizuri pia kuonesha upendo kwa wasio jiweza na yatima bila kusahau wagonjwa na wazee, kwa kufanya hivi utabarikiwa sana na mungu na utakuwa umeisherekea vema siku hii nzuri na tulivu.

HAPPY VALENTINE DAY
Candy

1 comment:

  1. Cc 2shakuona na wako bwana!
    Unafigure nzur xaaana! Wsh i was ur man!

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA