Sunday, January 20, 2013

TAMBUENI THAMANI YETU WASICHANA


Tanzania kuna wasichana wengi saana na waimbaji wazuri ila chakushangaza wachache sana ndio wanaonekana kwenye game, imekuwa tpfauti kama nchi za kenya na uganda, wote ni mashaidi kuwa kenya na uganda wanawasanii wengi wa kike na wanafanya vizuri sana hii ni tofauti na hapa kwetu, wasichana wakiwezeshwa wanaweza, wasichana wengi hawapewi nafasi japo ni waimbaji wazuri, hapa bongo wasanii wakiume ndio wengi kuliko wasichana hii sio sababu wavulana ndio wanaweza hapana ila kunamambo mengi yanayoturudisha nyuma watoto wa kike, wasichana tumekuwa tukidanganyika sana kwa vitu vidogo sana pia tunashawishiwa sana ndio maana hatufiki popote, jamii au wadau wa muziki wangelitizama hili kwanini wasichana waliopo kwenye game ni wachache sana

1 comment:

  1. Jst ongezen juhud! Pia mambo ya mapenz geuzen yawe kwa style nyngne maana wacchana mnastyle ya kulia lia 2! Fanya mapnduz calfonia!
    Am ur no.1 muzik en fb fan

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA