Monday, February 11, 2013

HEMED AWAUWA WASANII WENZIE WA MOVIE NA MUZIKI..ASEMA HAKUNA ZAIDI YAKE

  Msanii wa filamu na muziki nchini tanzania Hemed Suleiman PHD amesema ana amini kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza handsome kuliko wote ndani ya bongo,akipiga stori na thesuperstarstz hemed ameweka wazi kuwa anajiamini katika uchezaji anajiamini katika uzuri na anajiamini katika uvaaji pia 
Usher Raymond wa Tzzzz
Hemed ameendelea kusema kuwa anamkubali sana msanii kutoka marekani usher raymond na ndio sababu hata mashabiki wake humuita  usher raymond wa bongo

Kaka unajua hapa bongo ukianzia katika movie muziki huwezi kumpata kama mimi na ndio maana nikiingia sehemu unajua kabisa nimefika maana watu wote hugeuka kunitizama na hii inatokana na u handsome na jinsi navyonyuka pamba alisema hemed.

1 comment:

  1. What's up, constantly i used to check web site posts here early in the break of day, as i love to learn more and more.

    Here is my webpage - how to make steroids at home

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA