Sunday, February 10, 2013

KIM KARDASHIAN WA KANYE WEST KUJA AFRIKA....!!Nigeria Inaendelea kuwa Nchi ambayo Inatembelewa na Mastaa
wengi Duniani.....!!
February hii Tv Star,Kim Kardashian ambae pia ni mpenzi wa Rapper Kanye
West Anaitembelea  Nigeria kwa Mara ya Kwanza,Bahada ya Kupata Dili
la kuwa co-host wa Show ya Valentines Love Consert Itakayofanyika
February 17,2013...
Mastaa ambao watakuwa nae kwenye show hiyo ni pamoja na
2Face Idiba, Naeto C Na Jozi wa S.A...!!


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA