Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata
mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never
know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni
mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake
mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama
mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
Hizi ni
picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye
moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa
mama yetu mpendwa atupe Barka zake | Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jumapili....!! |
| skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake....!! |
| Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!! |
| WASAFIIIII......!! |
Hizo ni story za town wa2 hawapendi maendeleo ya w2 wengne dnt knw y. Bt i have faith dat he works hard dats y he got more dan em.
ReplyDelete