Sunday, February 24, 2013

PICHA NA VIDEO YA RIHANNA NA KATE MOSS KATIKA JARIDA LA V.

Mwanamitindo kutokea Uingereza, maarufu kama Kate Moss pamoja na mwanamuziki nyota kutoka Marekani, Rihanna wamekuwa ni miongoni ya watu waliochaguliwa kufanya kupiga picha kwa ajili ya Jarida maarufu nchini Marekani linalojulikana kama ''V''.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo warembo hao walizipiga wakati wakifanyiwa photo shoot...

Hapa chini ni video ikionesha kipindi wakifanya photo shoot:

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA