Thursday, February 21, 2013

PREZZO AREJEA KENYA BAADA YA KUWA NA FAMILIA YA GOLDIE

Prezzo amerudi jijini Nairobi siku ya jana, baada ya kuwa na familia ya Goldie kwa kuwafariji na kuwa nao katika kipindi hiki kigumu.Prezzo alipanda ndege wiki iliyopita February 14 akitegemea kuwa na sweet valentine date na Goldie, ambae kwa bahati mbaya alifariki muda mfupi kabla ndege yake haijatua Lagos.
Na katika kujibu  swali la kama ni kweli au si kweli kafukuzwa na familia ya Goldie, jibu ni hapana hakufukuzwa, na kuhusu mume wa Goldie "Andrew Harvey" Prezzo alisema, nagitaji kupumzika kwa sasa hivi na siko tayari kwa mahojiano, nitawajulisha wote wakati nitakapo kuwa tayari..
SOURCE DJ FETY

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA