Kwa mujibu wa msanii huyu alisema kwamba kwasasa bado ofisi yake haijaanza kufanya kazi ila inatarajia rasmi kuanza kazi mwezi wa tatu mwaka huu.@Wema alisema....
Tazama picha za ofisi yake mpya 'Endless Fame Film' iliyoitambulisha leo rasmi......
Wema na Zamaradi
Wema na Rich
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA