Monday, February 11, 2013

ZITTO: KAMATI YA NISHATI NA MADINI, POAC ZIMEVUNJWA ILI KUFICHA UFISADI

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe amesema vitendo anavyofanya Spika wa Bunge havikubaliki na anavifanya kwa makusudi ili kulinda ufisadi nchini. Zitto aliyasema hayo katika Viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam alipokuwa akihutubia Wananchi katika Mkutano maalum wa kuwapokea Wabunge wa CHADEMA Jumapili Februari 10, 2013.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA