Monday, March 4, 2013

NONINI APATA SHAVU LA KUWA MTANGAZAJI, AONGOZA KWA KUINGIZA PESA NYINGI KULIKO WASANII WENGINE...

Zikiwa zimepita siku chache tu baada ya mwanamziki maarufu kutoka kenya NONINI toka alipochaguliwa kuamtangazaji wa kituo maarufu cha radio ONE FM, pia kutang'azwa kua ndie msanii pekee kutoka kenya aliyengiza kiasi kukubwa cha pesa kutokana na mziki wake kupigwa redioni!

Bahati haikuishia hapo kwani taarifa kutoka katika vyanzo vyetu nchini kenya kua mwanamziki huyo amechaguliwa kua mmoja wa madirector katika chombo kinachojihusisha na kusimamia na kufatilia haki za wasanii nchini kenya. Mara baada ya kuchaguliwa kuwawakilisha wasanii katika nafasi hiyo alikua na haya ya kusema


“I wanna take this opportunity to thank all theartist’s who came out for the PRISK (Performing Rights Organisation Of Kenya) Special AGM today and actually voted MgengeTrue into the Board of Directors! Artists should be involved in running copyright bodies because hakunamtuanaelewashidazamsaniikamamsanii! ”.

Pia kati ya watu waliochaguliwa kuwawakilisha wasanii katika bodi hiyo ni aliyekua jaji wa Tusker project Fame jaji IAN

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA