Watu wanaokadiriwa kuwa 232 wamefariki dunia katika ajali ya moto
iliyotokea ndani ya night club moja huko Brazil na idadi ya vifo
inakadiriwa kuongezeka kadri muda unavyokwenda. Moto huo ametokea katika
klabu ya usiku inayojulikana kama THE KISS CLUB katika Mji uitwao Santa
Maria. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana laikini inasemekana kuwa
ni matatizo ya hitilafu katika klabu hiyo. Tazama picha zaidi za habari
hii hapa
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA