Moja ya nyumba ikiteketea
wakati wa vurugu mkoani Mtwara ambapo magari 18, pikipiki 7
viliteketezwa kwa moto vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya Masasi na
baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo.
Gari la wagonjwa likiteketea kwa moto.
Sehemu ya magari yakiendelea kuteketea kwa moto.
Jengo la Mahakama lililochomwa moto.
Chumba cha Jenereta kilichochomwa moto.
Nyumba inayosemekani ni nyumba ya waziri ikiwa imeharibiwa vibaya.
Nyumba inayosemekana ni ya Mwenyekiti wa CCM baada ya kuharibiwa.
Hivyo ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa vurugu hizo.
serikali ya Tanzania ndio inayosababisha,waache watetee rasilimali zao.szan kama kuna haja ya kuipeleka gesi dar,ni bora wajali hata mikoa mingine kama mtwara.maendeleo sio dar tu hata kwingine ili kupanua ujra kwa watanzania.
ReplyDelete