Hivi punde muigizaji wa filam hapa nchini WEMA SEPETU kaioneshea uma picha ya gari yake AUNDI Q7 mpya inayokadiliwa kuwa na gharama ya sh milioni 70 na kuendelea, picha hizo aliweka kwenye acount yake ya instagram ambazo alipiga akiwa beach na kuziwekea caption MY BABY AT THE BEACH,,
Kaamua kweli kweli! Bt halla 2 her
ReplyDeleteMbn sinzuri sn
ReplyDeleteongera
ReplyDelete