HUU UKATILI UTAISHA LINI??????? MTOTO AZIKWA AKIWA HAI HUKO NIGERIA
Mama mmoja nchini Nigeria ameamua kumzika mtoto wake akiwa hai. Baada ya
taarifa kupatikana polisi walienda na kuamua kufukua. Baada ya kufukua
walimkuta mtoto huyo na kumkimbiza hospitali aliposafishwa mtoto huyo
alikutwa hai.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA