Thursday, January 17, 2013

HATAKI KELELE

ALLY BAUCHA  ni msanii wa mda mrefu nilimsikia nikiwa mdogo sana sikuwah kufikilia kama ntakuja kukutana nae, lakini nashukuru mungu mwaka juzi nilikutana na ALLY BAUCHA, huyu ni moja kati ya wadau wa muziki wanaosapot saana sisi wasanii chipukizi, alikubali kipaji changu na nikafanikiwa kurecod nyimbo zangu tatu kwenye studio yake ya BAUCHAZ RECRDS, nashukuru mungu nyimbo zangu zilikamilika na ninampango wa kuzitoa , pamoja na hayo amekuwa mshauri wangu pale ninapokuwa na jambo nahitaji kusaidiwa kimawazo hajawa mchoyo wa kunielekeza njia za kufanya ili nifanikiwe na nisonge zaidi,, hata yeye anakubali kazi zangu na anajua ipo siku nitakuwa top thats y kila nikiwa na jambo hasiti kunisaidia,, huu ni mfano wa kuigwa na watu woote,, pia naupenda mziki wake na jinsi anavodance, sio mimi tu nazani wengi tunaupenda wimbo wake wa KELELE aliofanya na ALIKIBA, nimeona pia anasaidia vijana wanaojua kudance kwani nae ni dancer mzuri saaana toka enzi hizo hadi sasa,, huyu naweza sema damu yake imetawaliwa na muziki,, KIPAJI TOKA KWENYE DAMU,,,,, ONE LOVE BAUCHA..

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA