Thursday, January 17, 2013

NI MDOGO SANA LAKINI ANAYAJUA MAMBO

MARIA,, ni mdogo wangu mpndwa, nampenda saana coz amekuwa kipaumbele kuhakikisha dada yake na shine, siwez kwenda location kushut bila yeye kwani huwa ananipatia saana upande wa mavazi, akiniambia umependeza najua kweli na asiposema najua kweli sijapendeza, ni mdogo sana lakini anaonesha image ya mitindo amekuwa akinipangia nguo za kuvaa mara nyingi saana hata mekap pia amekuwa mshauri wangu anapenda dada yake nipendeze,, cna raha akiwa mbali nami popote niendapo kwenye kazi zangu za muziki amekuwa pembeni yangu,, anamiaka 14 na yupo kidato cha pili, hiki kipaji pia kimegunduliwa na waalimu wake kwani wamemfanya awe mpambaji kwenye sherehe za shule, namuombea mungu mdogo wangu asome pia afike mbali na fani yake, pia mdogo wangu anasauti nzuri anajua sana kuimba japo yeye anafanya nyimbo za dini ila nalizika nikisikia anaimba,, NAKUPENDA SAAANA MARIA MUNGU AKUPE MAISHA MAREF MA LOVLY  CSTA..

1 comment:

TOA MAONI YAKO HAPA