Kwa mara ya kwanza leo ntakuwa kwenye HOT MIX ya EATV kuanzia saa 11:00 jioni. Lengo ni kutaka Watanzania na mashabiki wangu popote walipo wanaopenda mziki wangu wazidi kunijua na kusupport kazi zangu na BLOG yangu pia.
Pia kama hujapata nafasi ya kutazama video yangu basi leo ndio utaitazama livena kujua ilikuaje kuaje hadi kukamilika. Pia nikiwa kama msichana, ntazungumzia changamoto nyingi sana na vikwazo kadhaa zinazonivunja moyo lakini bado naendelea kusimama kutetea kipaji changu. Nilishawahi kupoteza fahamu kwa masaa kadhaa zote hizi ni njia na vikwazo vilivyonitokea kwenye muziki.......Nitazungumza mengi sana you just stay tuned. USIKOSE KUUNGANA NAMI LEO KUANZIA SAA 11 EATV pekee katika HOT MIX
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA