Saturday, January 19, 2013

MWANAMKE AKIPENDA KWELI KAPENDA

Wasichana wengi tumekuwa tukijihusisha na mahusiano ya kimapenzi tukiwa wadogo, sikatazi watu kupendana ila kwa uchunguzi nimeona sisi ndio huwa tunaonewa mwisho wa siku tunaachwa tukilia, mapenzi yamekuwa ugonjwa wetu kwani wengi wetu tukipenda tunapenda kweli ila mwisho wa siku tunaumia tunabaki na mawazo na vilio vinavotupelekea kushuka kimaendeleo kama elimu na kazi zingine

Ushauri wangu kwa wasichana wenzangu jaman tusiwe tunakurupuka kukubali haraka hata kama mtu ushampenda chukua muda mchunguze umjue muangaishe ili nae ajute hata baadae ajue thamani yako ajue jinsi gani alipata shida kukupata, ukimjua mtu tabia ni rahisi kujiepusha na mambo mengine pia uwe na mahusiano yenye malengo, umakuwa na mpenzi ndio ila jiulize huyu mpnzi tutachezeana tu alaf baadae tuachane au tutafika mbali na tutaishi pamoja/ ukiwa mjanja wa kuchanganua mawazo yako mwanaume hawezi kukuliza liza ovyo nae sometimz ataogopa kukucht coz kashakujua, tukumbuke kutumia kinga na kujua afya zetu mara kwa mara, ukiona mapenzi yanakupiga teke achana nayo fanya mambo yako mengine zidisha juhudi kwenye masomo au kazi zako zingine ukifanikiwa ukiwa na kaz yako na elimu yako watakufata tuu hao hawana ujanja wowote,, tujitambue tujijue tuwe na malengo ya maisha yetu ya kesho, tusikilize ushauri wa wazazi na jamii
 MI NAIMANI TUNAWEZA SANA NA TUNAMAAMUZI YA MAISHA YETU TUSIKUBALI KUONEWA......................... NAWAPENDA
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,CANDY CALFONIA

6 comments:

TOA MAONI YAKO HAPA