Sunday, January 20, 2013

SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA ILINIKUTANISHA NA JORDAN DA PRINCE

Nilikuwa mshiriki wa serengeti fiesta super nyota 2012 nilipata bahati ya kukutana na jordan kwan nae alikuwa mshiriki pia, baada ya kukaa kambini nikagundua jordan anauwezo sana na endapo watanzania watampa sapot atafika mbali zaidi, upcmng artst wengi wanafanya colabo na wasanii wakubwa ili wawapush waonekane but mi sikujali hilo niliamua kufanya na jordan kulingana na uwezo wake, thanx god tuliungana na kufanya nyimbo ya MZIKI MTAMU na sio siri aliitendea haki saana ni zaidi ya star, kwa taharifa alizonipa hivi karibuni usiku wa leo atakuwepo maisha club akisindikiza shoo ya mabeste pia mda si mrefu kaachia audio ya nyimbo yake iitwayo MTOTO MLITO aliofanya katika studio za AM. REC  kwa  MANECKY na video yake ipo tayari very soon ataitoa,,, huyu ndio JORDAN kaeni tayari kwa mziki wake,,,,

one love
 CANDY

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA