Siwezi kuisahau hii siku nilienda gereza la segerea na kutaka kuingia kuona wafungwa nikiwa hivi mgongo waz,. nilikatazwa kuingia na kwa sababu polisi wanahali ya kuongea kwa ukali ni,niliamua kuondoka lakini baadae roho ikanisuta kwani sikulitimiza lililonipeleka ikabidi niazime khanga nivae then niingie, nashukuru mungu niliingia na kutimiza lililonipeleka, tangu hapo nimejifunza saana kuvaa kulimgana na mahali na wakati, baadae sikuwachukia polisi kwani nao walikuwa kazini,
one love
CANDY
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA