Marehemu mama yetu na mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
Hapa wanafunzi pamoja na walimu wakijipanga kuupokea mwili wa marehemu mama yetu, mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
Wanafunzi wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea mwili wa marehemu Lydia tayari kwa kuuaga katika ukumbi wa chuo |
Uzuni majonzi ndio iliyotawala moyoni mwetu kwa kumpoteza mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
Padre Kijagi akiongoza ibada ya kumwombea marehemu |
Wanafunzi wakiwa ukumbini kwa ibada ya kumuaga mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA