Sunday, February 10, 2013

HIVI NDIVYO 40 YA SAJUKI ILIVYOFANYIKA

Mke wa Sajuki, Wastara (katikati) akisoma dua
...waumini wakisoma dua
...shehe akitoa mawaidha kwa waumini
....waumini wakipata swadaka mara baada ya dua
...waumini wa kiume wakidhikri wakati wa dua
...waumini wa kike wakidhikri wakati wa dua
Ni siku 40 zimepita tangu tasnia ya filamu ipate pigo la kuondokewa na msanii mwenzao, Juma Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ambapo leo ilikuwa ni siku ya hitma yake iliyofanyika nyumbani kwake Tabata- Bima, Dar.
PICHA: Gladness Mallya/GPL

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA