Thursday, February 21, 2013

INASIKITISHA:::WAWASHA UMME WAKATI MWENZAO YUPO KWENYE GRID ANATENGENEZA




Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo. Picha na Geofrey Nyang’oro

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA